Swali 653: Je, inafaa kwa mwanamke kuweka nadhiri juu ya kilichomo tumboni mwake?

Jibu: Huenda hili halikuwepo katika Shari´ah ya walio kabla yetu na kwa kuwa linaweza kumdhuru mtoto. Hakuna kudhuru wala kudhuriana.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 234
  • Imechapishwa: 20/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´