Swali 655: Vipi kwa mwenye kuweka nadhiri ya kufunga siku tatu za kila mwezi na asifanye hivyo?
Jibu: Atalipa. Pia imesemekana kwamba, mbali na kulipa, atatakiwa kutoa kafara kwa sababu wakati umeshapita. Ingawa sahihi ni kwamba inatosha kulipa.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 235
- Imechapishwa: 20/06/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
Swali 655: Vipi kwa mwenye kuweka nadhiri ya kufunga siku tatu za kila mwezi na asifanye hivyo?
Jibu: Atalipa. Pia imesemekana kwamba, mbali na kulipa, atatakiwa kutoa kafara kwa sababu wakati umeshapita. Ingawa sahihi ni kwamba inatosha kulipa.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 235
Imechapishwa: 20/06/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/ameshindwa-kutimiza-nadhiri-ya-kufunga-siku-tatu-kila-mwezi/