Mzushi na anayedhihirisha maasi wanatakiwa kususwa

Swali: Je, inafaa kumsusa mtenda maasi zaidi ya siku tatu?

Jibu: Maasi yana jambo lake. Mzushi anakatwa mpaka atubie ikiwa atazionyesha Bid´ah zake. Kutofaa ni pale inapohusiana mambo binafsi mtu na ndugu yake; kama vile mambo ya kidunia. Lakini akidhihirisha maasi anatakiwa kususwa mpaka atubie.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25229/حكم-هجر-صاحب-المعصية-اكثر-من-ثلاثة-ايام
  • Imechapishwa: 19/02/2025