Swali: Je, inafaa kwa mwanamke kutumia manukato ikiwa hatapita katika mkusanyiko wa wanamme bali anaenda moja kwa moja katika maeneo ya wanawake ni mamoja anaenda msikitini au kwengine?
Jibu: Haifai kwake kufanya hivo. Bali anatakiwa kutoka nje kama ilivyopokelewa katika Hadiyth:
“Watoke pasi na kujitia manukato.”
Akijitia manukato basi azuiwe kutoka nje.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (21)
- Imechapishwa: 28/08/2021
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)
Related
Mwanamke kujitia manukato anapotoka nje ya nyumba
Swali: Je, inafaa kwa mwanamke anapotaka kwenda masomoni, hospitali au kuwatembelea ndugu na jamaa akajitia manukato? Jibu: Inafaa kwake kujitia manukato ikiwa kutoka kwake ni kwenda kwenye mkusanyiko wa wanawake na njiani hatopita karibu na wanamme. Lakini kujitia kwake manukato hakutojuzu ikiwa atatoka kwenye masoko ambayo wako wanamme. Mtume (Swalla…
In "Tabarruj"
Pindi utapojua kuwa mwanamke atatumia manukato wakati anapotoka nje
Swali: Je, inafaa kwa mwanamke kumpa zawadi ya sanduku la manukato mwanamke mwingine pamoja na kuzingatia kwamba mwanamke anayepewa zawadi hutoka kwenda mtaani hali ya kuwa amejitia manukato haya? Je, mtoa zawadi pia anapata dhambi? Jibu: Hakuna neno kumpa manukato mwanamke. Kwa sababu zawadi inaleta mapenzi na mahaba. Mtoa zawadi…
In "Manukato na vitu vyenye harufu"
Mwanamke kutumia manukato masomoni
Swali: Ni ipi hukumu ya mwanamke anayetoka nyumbani kwake kwenda masomoni ilihali hakujitia manukato lakini pale tu anapoingia masomoni basi anaweka manukato na mwanamke huyo anakaa kwenye masomo yake karibu masaa manne? Jibu: Hakuna kizuizi. Hakuna neno akijitia manukato na yeye yuko kati ya wanawake tu. Vivyo hivyo wakati wa…
In "Manukato na vitu vyenye harufu"