Mzazi kutumia pesa za mwanawe kutoka serikali

Swali: Serikali hunipa pesa ambayo inakuwa ni msaada wa watoto. Inajuzu kama mama kutumia pesa hizi katika kununua vitu ambavyo ni binafsi kwangu?

Jibu: Serikali inawapa watoto zake kama msaada? Awawekee nayo na wala asichukue pesa hata moja.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (35) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighasah%20%20-%2017-%2010-1436.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017