Swali: Mwezi mwandamo wenye kuonekana na mwanamke unazingatiwa?
Jibu: Maoni yenye nguvu ni kutozingatiwa. Maoni yenye nguvu ni kwamba mwezi unakubaliwa pale unapoonekana na shahidi mmoja, mwadilifu, mwaminifu, mwaname au mashahidi wawili.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/audios/794/فتاوى-رمضانية
- Imechapishwa: 02/04/2023