Swali: Ni lazima kwa mgonjwa ambaye anaswali kwa kuelekea Qiblah aelekeze uso wake Qiblah?
Jibu: Ndio, ni lazima. Kuelekea Qiblah ni miongoni mwa masharti ya kusihi kwa swalah. Ni lazima aelekeze uso na mwili wake Qiblah. Aswali kwa kulalia ubavu na huku ameelekeza uso na mwili wake Qiblah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (46) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2152
- Imechapishwa: 06/09/2020
Swali: Ni lazima kwa mgonjwa ambaye anaswali kwa kuelekea Qiblah aelekeze uso wake Qiblah?
Jibu: Ndio, ni lazima. Kuelekea Qiblah ni miongoni mwa masharti ya kusihi kwa swalah. Ni lazima aelekeze uso na mwili wake Qiblah. Aswali kwa kulalia ubavu na huku ameelekeza uso na mwili wake Qiblah.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (46) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2152
Imechapishwa: 06/09/2020
https://firqatunnajia.com/mwenye-kuswali-kwa-kulala-ni-lazima-aelekee-qiblah/