Swali: Kukataliwa uombezi kwa washirikina kama ilivyopokelewa katika Hadiyth kunaingia pia yule ambaye alifanya shirki ndogo kwa mfano mwenye kuapa kwa asiyekuwa Allaah?
Jibu: Huyu ni muumini hatoki katika Uislamu. Ambaye yuko na shirki ndogo hatoki katika Uislamu. Kinachomaanishwa ni mshirikina mwenye kutoka katika Uislamu ndiye ambaye uombezi hautomfaa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (07) http://alfawzan.af.org.sa/node/2122
- Imechapishwa: 02/07/2020
Swali: Kukataliwa uombezi kwa washirikina kama ilivyopokelewa katika Hadiyth kunaingia pia yule ambaye alifanya shirki ndogo kwa mfano mwenye kuapa kwa asiyekuwa Allaah?
Jibu: Huyu ni muumini hatoki katika Uislamu. Ambaye yuko na shirki ndogo hatoki katika Uislamu. Kinachomaanishwa ni mshirikina mwenye kutoka katika Uislamu ndiye ambaye uombezi hautomfaa.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (07) http://alfawzan.af.org.sa/node/2122
Imechapishwa: 02/07/2020
https://firqatunnajia.com/mwenye-kufa-katika-shirki-ndogo-atapata-uombezi/