Mwenye istihaadhah kuwaswalisha wengine

Swali: Je, inafaa kwa mwanamke mwenye damu ya ugonjwa kuwaswalisha wanawake wenzie?

Jibu: Ndio, inafaa.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 140
  • Imechapishwa: 02/07/2022