Swali: Je, inajuzu kwa mwanamke mwenye hedhi kusoma Qur-aan ikiwa iko ndani ya simu?
Jibu: Mwenye hedhi, aliye na hadathi kubwa na mwenye janaba hawaruhusiwi kusoma Qur-aan, sawa ikiwa ni ndani ya Kitabu au kimoyoni. Wasisome Qur-aan, sawa ikiwa iko ndani ya kitu na kinachodhihiri ni herufi zake tu kwenye skrini, ndani ya msahafu na kadhalika. Asisome Qur-aan ilihali ana hadathi kubwa mpaka aoge.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13221
- Imechapishwa: 23/09/2020
Swali: Je, inajuzu kwa mwanamke mwenye hedhi kusoma Qur-aan ikiwa iko ndani ya simu?
Jibu: Mwenye hedhi, aliye na hadathi kubwa na mwenye janaba hawaruhusiwi kusoma Qur-aan, sawa ikiwa ni ndani ya Kitabu au kimoyoni. Wasisome Qur-aan, sawa ikiwa iko ndani ya kitu na kinachodhihiri ni herufi zake tu kwenye skrini, ndani ya msahafu na kadhalika. Asisome Qur-aan ilihali ana hadathi kubwa mpaka aoge.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13221
Imechapishwa: 23/09/2020
https://firqatunnajia.com/mwenye-hedhi-na-hadathi-kubwa-kusoma-qur-aan-kwenye-simu/