Mwenye hedhi kukaa msikiti wa Makkah kutokana na dharurah

Swali: Vipi kuhusu mwenye hedhi kukaa Haram kwa ajili ya dharurah?

Jibu: Dharurah inayo hukumu zake. Ikiwa kwa mfano amepoteana na ndugu zake na anachelea…

Swali: Vipi ikiwa kundi la watu liko na mwenye hedhi na wakaenda Haram na kumwacha…

Jibu: Hapana vibaya ikiwa ni dharurah – Allaah akitaka.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24750/حكم-جلوس-الحاىض-في-الحرم-للضرورة
  • Imechapishwa: 06/12/2024