Swali: Unasemaje juu ya kitabu “Rijaal hawl-ar-Rasuul” cha Khaalid Muhammad Khaalid?

Jibu: Mwandishi haaminiki katika dini. Mtu huyu sio mwaminifu katika dini na wala hana ujuzi wa yaliyo swahiyh n dhaifu. Bali anasahihisha yale anayotaka na kudhoofisha yale asiyoyataka.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://muqbel.net/fatwa.php?fatwa_id=1476
  • Imechapishwa: 10/02/2019