Swali 551: Je, haisemwi kuwa mume anayekubali mwanamke kujivua hastahili kulipwa chochote na mkewe ikiwa kosa ni kutoka kwake?

Jibu: Hapana, kwani ingawa Thaabit (Radhiya Allaahu ´anh) alimcharaza mkewe na kuvunja mkono wake, Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alimuamuru mwanamke amrudishie bustani lake.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 189
  • Imechapishwa: 11/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´