Swali: Ni ipi hukumu ya kuvaa cheni ya mkononi?

Jibu: Ni ya wanawake. Ni wanawake ndio huvaa cheni ya mkononi. Mwanaume havai cheni ya mkononi. Wanawake ndio huvaa kwa ajili ya kujipamba.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%2004-07-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 06/10/2020