Mwanamke tasa analia pindi anapoona mtoto

Swali: Mwanamke tasa analia kila anapoona watoto. Ni ipi hukumu ya hilo?

Jibu: Hakuna tatizo kwa kulia. Hata hivyo lililo bora zaidi ni yeye kumuomba Allaah amruzuku kizazi chema.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (19) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf%2030-7-1434_01.mp3
  • Imechapishwa: 15/06/2020