Swali: Je mwanamke mjamzito anaweza kujumuisha swalah wakati fulani ikiwa anakabiliwa na shida?
Jibu: Ndio, ikiwa anakabiliwa na uzito anaweza kukusanya swalah. La sivyo hapana.
- Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (428)
- Imechapishwa: 15/09/2020