Mwanamke kuvaa suruwali anapokuwa na Mahram zake wanaume

Swali: Je, mwanamke anaweza kuvaa suruwali wakati yuko na Mahram zake wanamme?

Jibu: Mwanamke hatakiwi kuvaa suruwali kwa kuwa anajifananisha na wanaume.

Check Also

Je, inajuzu mwanamke kuvaa suruwali pana isiyobana?

Swali: Ipi hukumu ya kuvaa suruwali kwa mwanamke? Na je, kuna tofauti ikiwa pana au …