Swali: Ni ipi hukumu juu ya kukata nywele na kuvaa suruwali kwa ajili ya mume?
Jibu: Uzuri unapatikana katika nywele za mwanamke na sio katika kuzikata. Yeye kukata ina maana anajifananisha na wa magharibi na wanawake ambao hawajali uzuri wao. Nywele za mwanamke ndio mapambo yake na aziache kama zilivyo na asikate chochote katika hayo.
Ama kuhusiana na suruwali, hivyo haijuzu kwa mwanamke kuvaa suruwali. Inaonesha maumbile yake. Suruwali sio katika mavazi ya nchi hii. Inakwenda kinyume na haya na kujisitiri.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://alfawzan.af.org.sa/node/5405
- Imechapishwa: 07/09/2020
Swali: Ni ipi hukumu juu ya kukata nywele na kuvaa suruwali kwa ajili ya mume?
Jibu: Uzuri unapatikana katika nywele za mwanamke na sio katika kuzikata. Yeye kukata ina maana anajifananisha na wa magharibi na wanawake ambao hawajali uzuri wao. Nywele za mwanamke ndio mapambo yake na aziache kama zilivyo na asikate chochote katika hayo.
Ama kuhusiana na suruwali, hivyo haijuzu kwa mwanamke kuvaa suruwali. Inaonesha maumbile yake. Suruwali sio katika mavazi ya nchi hii. Inakwenda kinyume na haya na kujisitiri.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://alfawzan.af.org.sa/node/5405
Imechapishwa: 07/09/2020
https://firqatunnajia.com/mwanamke-anakata-nywele-zake-na-anavaa-suruwali-kwa-ajili-ya-mume/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)