Mwanamke kuswali na mtandio wa kufika mabegani na suruwali chini


Swali: Kuna mwanamke ameswali na Hijaab inayofika kwenye mabega yake na suruwali. Je, swalah yake inasihi?

Jibu: Suruwali hapana. Suruwali inabainisha viungo vya mwili wake na inamfitinisha. Asiswali na suruwali wala haifai kwake kuvaa suruwali. Suruwali haimstahiki mwanamke. Kwa kuwa inafitinisha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13739
  • Imechapishwa: 07/09/2020