Mwanamke kuonyesha uso wake mbele ya wanaume wenye kuweza kumuoa

Swali: Ni ipi hukumu mwanamke kufunua uso wake mbele ya wanaume ajinabi?

Jibu: Mwanamke kufunua uso wake mbele ya wanaume wasiokuwa Mahram zake ni haramu. Tumeyabainisha hayo katika kijitabu kidogo kwa jina “al-Hijaab”[1]. Ndani yake tumebainisha dalili kutoka katika Qur-aan na Sunnah. Endapo mtu atakisoma basi atabainikiwa na haki.

[1] Tazama https://firqatunnajia.com/category/makala/wanawake/mavazi-na-vipodozi/jumla-kuhusiana-na-vazi-la-mwanamke/al-hijaab/

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Liqaa´ ash-Shahriy (66) http://binothaimeen.net/content/1487
  • Imechapishwa: 25/01/2020