Swali: Ni ipi hukumu kwa mwanamke kuonja chakula kwa ncha ya ulimi ili kujua ni viungo gani vinavyokosekana?

Jibu: Ni sawa – Allaah akitaka. Hakishuki kwenye koo shingoni.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fadhwaaih wa Naswaaih, uk. 78-79
  • Imechapishwa: 26/08/2020