Swali: Mke akimuwekea sharti mume wake wakati anapomuoa wasizae. Ni ipi hukumu ya sharti hii?
Jibu: Sharti hii sio sahihi. Sharti batili. Kwa kuwa kuzaa kunatakikana. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Oeni wanawake wenye kizazi. Hakika mimi nitajifakhari kwa wingi wetu na Ummah zingine siku ya Qiyaamah.”
Kuzaa ni jambo linalotakikana. Mwenye kuwekea sharti ya kutozaa, sharti hii sio sahihi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/files/ls–jeddah-1430-8-17.mp3
- Imechapishwa: 25/09/2020
Swali: Mke akimuwekea sharti mume wake wakati anapomuoa wasizae. Ni ipi hukumu ya sharti hii?
Jibu: Sharti hii sio sahihi. Sharti batili. Kwa kuwa kuzaa kunatakikana. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Oeni wanawake wenye kizazi. Hakika mimi nitajifakhari kwa wingi wetu na Ummah zingine siku ya Qiyaamah.”
Kuzaa ni jambo linalotakikana. Mwenye kuwekea sharti ya kutozaa, sharti hii sio sahihi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/files/ls–jeddah-1430-8-17.mp3
Imechapishwa: 25/09/2020
https://firqatunnajia.com/mwanamke-kumuwekea-sharti-mume-wasizae/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket