Swali: Je, msingi katika mwanamke anapofanya biashara ya kuuza na kununua ni lazima afunue uso wake au hapana?
Jibu: Hapana, si lazima. Anaweza kuuza na kununua hali ya kuwa amejisitiri na hakuna tatizo katika hilo.
Swali: Yaani kwa mfano amenunua kitu kwa muuzaji, kisha muuzaji akasema kuwa anahitaji kuujua uso wake. Je, ni lazima kwake kuujua uso wake?
Jibu: Iwapo ni katika kupeana deni, naye haifahamu sauti yake, baadhi ya wanazuoni wameruhusu aujue uso wake ili aweze kumtambua na kumhesabu baadaye kwa kumtambua kwa uso wake. Ama ikiwa anajulikana au kuna mashahidi wanaomjua, basi hakuna haja ya kufunua uso.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1789/حكم-كشف-وجه-المراة-اثناء-البيع-والشراء
- Imechapishwa: 04/07/2026
Swali: Je, msingi katika mwanamke anapofanya biashara ya kuuza na kununua ni lazima afunue uso wake au hapana?
Jibu: Hapana, si lazima. Anaweza kuuza na kununua hali ya kuwa amejisitiri na hakuna tatizo katika hilo.
Swali: Yaani kwa mfano amenunua kitu kwa muuzaji, kisha muuzaji akasema kuwa anahitaji kuujua uso wake. Je, ni lazima kwake kuujua uso wake?
Jibu: Iwapo ni katika kupeana deni, naye haifahamu sauti yake, baadhi ya wanazuoni wameruhusu aujue uso wake ili aweze kumtambua na kumhesabu baadaye kwa kumtambua kwa uso wake. Ama ikiwa anajulikana au kuna mashahidi wanaomjua, basi hakuna haja ya kufunua uso.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1789/حكم-كشف-وجه-المراة-اثناء-البيع-والشراء
Imechapishwa: 04/07/2026
https://firqatunnajia.com/mwanamke-kufunua-uso-wake-wakati-wa-biashara/