Swali: Jina la Malaak lina makosa?
Jibu: Haifai kwa mwanamke kujiita jina hilo. Apewe jina hilo mwanaume kama ambavo inafaa kwake kuitwa kwa jina la Jibriyl na Mikaaiyl.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22708/ما-حكم-التسمية-باسم-ملاك
- Imechapishwa: 04/08/2023