Mwanamke aoge kwa matamanio kumpanda?

Swali: Ni lazima kwa mwanamke kuoga pindi matamanio yake yakiwa makali lakini asitokwe na kitu?

Jibu: Hapana, asipotokwa na kitu hahitajii kuoga. Hili ni kwa mwanamme na mwanamke.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=R1zbYXxHuRA
  • Imechapishwa: 01/09/2022