Swali: Je, mwanamke anaweza kuchinja Udhhiyah yake kwa mkono wake?
Jibu: Ndio, inajuzu. Mwanamke anaweza kuchinja na haina neno. Kichinjwa cha mwanamke ni kama kichinjwa cha mwanaume. Midhali ni muislamu au ni mwanamke wa Ahl-ul-Kitaab ni halali kichinjwa chake.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (57) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-01-07.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)