Swali: Ni ipi hukumu ya mwanamke kuswali amefunua miguu na mikono? Ni ipi hukumu ya mwanamke kuswali uso wazi?
Jibu: Wanazuoni wametofautiana juu ya mwanamke kuswali mikono na miguu wazi:
1 – Baadhi ya wanazuoni wanaona kuwa miguu na mikono ya mwanamke ni uchi. Kujengea juu ya hilo haijuzu kwake kuswali mikono na miguu wazi.
2 – Wanazuoni wengine wanaona kuwa sio uchi, na kwamba kuifunua hakubatilishi swalah. Hata hivyo bora kwa mwanamke afunike miguu na mikono yake wakati anaposwali.
Kuhusiana na uso, ni haramu kwa mwanamke kuacha uso wake wazi isipokuwa mbele ya mume wake au ndugu zake wa kiume wasioweza kumuoa. Miguu na mikono fitina yake ni ndogo kuliko uso.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/296)
- Imechapishwa: 06/08/2026
Swali: Ni ipi hukumu ya mwanamke kuswali amefunua miguu na mikono? Ni ipi hukumu ya mwanamke kuswali uso wazi?
Jibu: Wanazuoni wametofautiana juu ya mwanamke kuswali mikono na miguu wazi:
1 – Baadhi ya wanazuoni wanaona kuwa miguu na mikono ya mwanamke ni uchi. Kujengea juu ya hilo haijuzu kwake kuswali mikono na miguu wazi.
2 – Wanazuoni wengine wanaona kuwa sio uchi, na kwamba kuifunua hakubatilishi swalah. Hata hivyo bora kwa mwanamke afunike miguu na mikono yake wakati anaposwali.
Kuhusiana na uso, ni haramu kwa mwanamke kuacha uso wake wazi isipokuwa mbele ya mume wake au ndugu zake wa kiume wasioweza kumuoa. Miguu na mikono fitina yake ni ndogo kuliko uso.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/296)
Imechapishwa: 06/08/2026
https://firqatunnajia.com/mwanamke-anaswali-mikono-na-miguu-wazi/