Swali: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Anayetoka kwa ajili ya kujifunza elimu, basi yuko katika njia ya Allaah.”
Je, anakusudiwa yule ambaye anasafiri kwa ajili ya kufuata darsa, mihadhara au Khutbah?
Jibu: Njia zote za elimu.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22982/ما-العلم-الذي-يكون-الخروج-له-في-سبيل-الله
- Imechapishwa: 06/10/2023
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)