Mwanafunzi lazimiana na vitabu vidogovidogo

Swali: Je, unapendekeza mwanafunzi anayeanza kusoma vitabu vikubwavikubwa?

Jibu: Hapana, anayeanza alazimiane na vitabu vidogovidogo. Asiishughulishe akili yake ili mambo yakaja kumchanganya. Alazimiane na mutuni na kurejea vitabu vilivyo karibu ambavyo havina utata wowote. Maana na usomaji wa mutuni hizo ziwe wazi. Kwa sababu akijiingiza kwenye vitabu vikubwa basi mambo yatakuja kumchanganya.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25170/هل-يبدا-طالب-العلم-بالمختصرات-ام-المطولات
  • Imechapishwa: 14/02/2025