Swali: Atangulizwe nani mbele kati ya mwanachuoni muovu au mfanya ´ibaadah mjinga?

Jibu: Mfanya ´ibaadah hana faida. Hana zaidi ya kufanya ´ibaadah peke yake. Mwanachuoni, ijapo atakuwa muovu, ukitilia shaka fatwa yake waonyeshe nayo wengine na baada ya hapo mnasihi. Waonyeshe wanazuoni wengine ili ukisanyikiwe na kheri. Usimtegemee isipokuwa baada ya kuwauliza wengine ukiwapata. Kuhusu mfanya ´ibaadah hana faida masikini.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21995/ايهما-المقدم-عالم-فاسق-ام-عابد-جاهل
  • Imechapishwa: 12/10/2022