Swali: Je, al-´Adl (mwadilifu) ni miongoni mwa majina ya Allaah yaliyothibiti?

Jibu: Ni katika sifa Zake. Yeye ni Mwenye kuhukumu kwa uadilifu. Kuhukumu kwa uadilifu ni katika sifa za Allaah (Jalla wa ´Alaa).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (08) http://alfawzan.af.org.sa/node/2123
  • Imechapishwa: 04/07/2020