Swali: Baadhi ya waume wanakaa katika nyumba za wake zao. Je, wanayo haki ya kumzuia na kumpa idhini ya kuingia wamtakaye?
Jibu: Ndio. Haijalishi kitu hata kama nyumba ni ya mke. Utawala ni wake [mume].
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21970/ما-سلطان-الرجل-لو-كان-يسكن-ببيت-زوجته
- Imechapishwa: 14/01/2023