Swali: Ni ipi hukumu maamuma kwenda sambamba na imamu katika matendo ya swalah?

Jibu: Maoni yaliyo karibu zaidi na haki ni uharamu kwa mujibu wa udhahiri wa maandiko. Baadhi ya wanazuoni wanaona kuwa inachukiza. Maoni yaliyo karibu zaidi na haki kwa mujibu wa maandiko ni uharamu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21968/حكم-مساواة-الماموم-للامام-في-افعال-الصلاة
  • Imechapishwa: 14/01/2023