Swali: Dada huyu anayetoka Ufaransa anauliza kwa kusema ya kwamba ana watoto wawili na anataka kuzaa watoto wengine, lakini hata hivyo mume wake anamkatalia. Hoja yake ni kwamba hawapatani naye na hajui kama wataendelea au wataachana. Anauliza kama inajuzu kubeba mimba bila idhini yake?
Jibu: Haijuzu kwake [mke] kumuitikia kuzuia mimba. Asimuitikie kukubali kuzuia mimba. Kwa kuwa haya ni maasi. Ushikaji mimba na kuzaa kizazi kingi ni kitu kinachotakikana. Asimuitikie katika hilo. Lau atashika mimba ni vizuri na ni kheri zaidi.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2138
- Imechapishwa: 12/07/2020
Swali: Dada huyu anayetoka Ufaransa anauliza kwa kusema ya kwamba ana watoto wawili na anataka kuzaa watoto wengine, lakini hata hivyo mume wake anamkatalia. Hoja yake ni kwamba hawapatani naye na hajui kama wataendelea au wataachana. Anauliza kama inajuzu kubeba mimba bila idhini yake?
Jibu: Haijuzu kwake [mke] kumuitikia kuzuia mimba. Asimuitikie kukubali kuzuia mimba. Kwa kuwa haya ni maasi. Ushikaji mimba na kuzaa kizazi kingi ni kitu kinachotakikana. Asimuitikie katika hilo. Lau atashika mimba ni vizuri na ni kheri zaidi.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2138
Imechapishwa: 12/07/2020
https://firqatunnajia.com/mume-hataki-mke-ashike-mimba-ilihali-mke-yuwataka/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)