Swali: Mwenye kufa hali ya kuwa haswali anaswaliwa?
Jibu: Mkihakikisha kuwa alikuwa haswali kabisa, si nyumbani kwake wala pamoja na mkusanyiko, amekufa juu ya hilo na hakutubu, msimswalii.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-07-18.mp3
- Imechapishwa: 09/08/2020
Swali: Mwenye kufa hali ya kuwa haswali anaswaliwa?
Jibu: Mkihakikisha kuwa alikuwa haswali kabisa, si nyumbani kwake wala pamoja na mkusanyiko, amekufa juu ya hilo na hakutubu, msimswalii.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-07-18.mp3
Imechapishwa: 09/08/2020
https://firqatunnajia.com/muislamu-kama-huyu-haswaliwi/