Kupanga au kununua nyumba iliyojengwa kwa ribaa

Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kupanga kwenye nyumba ambayo imejengwa kwa njia ya ribaa?

Jibu: Ukijua kuwa imejengwa kwa njia ya ribaa jitenge nayo mbali. Usipange wala usiinunue. Jitenge nayo mbali.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-07-18.mp3
  • Imechapishwa: 09/08/2020