Swali: Je, ni sahihi kwamba inafaa kwa mtu kusema: “Mimi ni muumini – Allaah akitaka.” lakini haifai kusema: “Mimi ni muislamu – Allaah akitaka.”?

Jibu: Haikupokelewa kusema: “Mimi ni muislamu – Allaah akitaka.” Lakini imepokelewa kusema: “Mimi ni muumini – Allaah akitaka.”

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (106) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatoul%20lahfan-%2027-03-1441.mp3
  • Imechapishwa: 28/09/2020