Muhammad al-Imaam ni Ikhwaaniy

Swali: Je, unaweza kukariri uliyoyasema?

Jibu: Nilisema kuwa Muhammad al-Imaam ni mtu wa Bid´ah mpotevu mpaka pale atapotubu juu ya mkataba huu dhalimu na kujiweka mbali nao kwa Allaah.

Swali: Ni tarehe ngapi?

Jibu: Ni tarehe 13 Shawwaal 1435, sawa na tarehe 09 Agosti 2014.

Swali: Je, mtu huyu ni Ikhwaaniy?

Jibu: Ndio. Bila ya shaka ni Ikhwaaniy. Ni Ikhwaaniy.