Swali: Je, unaweza kukariri uliyoyasema?
Jibu: Nilisema kuwa Muhammad al-Imaam ni mtu wa Bid´ah mpotevu mpaka pale atapotubu juu ya mkataba huu dhalimu na kujiweka mbali nao kwa Allaah.
Swali: Ni tarehe ngapi?
Jibu: Ni tarehe 13 Shawwaal 1435, sawa na tarehe 09 Agosti 2014.
Swali: Je, mtu huyu ni Ikhwaaniy?
Jibu: Ndio. Bila ya shaka ni Ikhwaaniy. Ni Ikhwaaniy.
- Muhusika: Shaykh ´Ubayd bin ´Abdillaah al-Jaabiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.albaidha.net/vb/showthread.php?t=52238
- Imechapishwa: 21/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)