Swali: Je, mudiri wa kituo cha Kiislamu katika nchi ya kikafiri ndiye anayekuwa walii wa wanawake wa Kiislamu wanaosilimu?
Jibu: Ndio, mudiri wa kituo ndiye anayechukua jukumu la watawala. Anatakiwa kutekeleza zile hukumu zinazomuhusu mtawala katika nchi ya waislamu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (36)
- Imechapishwa: 05/08/2023