Swali: Ikiwa muadhini ataingia msikitini na kumebaki dakika tano au mbili muda wa adhaana asimame kisha ndio aadhini?

Jibu: Akiswali basi ni bora zaidi, akiswali Rak´ah mbili basi ni bora zaidi. Swalah ya mamkizi ya msikiti.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/28512/ما-يفعل-الموذن-لو-دخل-قبل-وقت-الاذان
  • Imechapishwa: 24/04/2025