Swali: Ni ipi sifa ya Jibriyl kumfundisha Qur-aan Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) katika Ramadhaan?
Jibu: Kwa udhahiri wake. Jibriyl anasoma na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) pia anasoma. Huyu anasoma na mwengine anafuatia ili afaidike na yale aliyokuja nayo Jibriyl kwa sababu anakuja nayo kutoka kwa Allaah (Jalla wa ´Alaa).
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23461/%D9%85%D8%A7-%D8%B5%D9%81%D8%A9-%D9%85%D8%AF%D8%A7%D8%B1%D8%B3%D8%A9-%D8%AC%D8%A8%D8%B1%D9%8A%D9%84-%D9%84%D9%84%D9%86%D8%A8%D9%8A%EF%B7%BA-%D8%A8%D8%B1%D9%85%D8%B6%D8%A7%D9%86
- Imechapishwa: 25/01/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket