Swali: Je, Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alimwona Mola Wake (Ta´ala) usikuwa wa israa´?
Jibu: Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hakumwona Mola Wake duniani kwa macho ya kichwani mwake duniani kutokana na maoni sahihi ya wanachuoni juu ya hilo. Alimwona Jibriyl (´alayhis-Salaam) kwa umbile lake kwenye upeo angani. Haya ndio makusudio ya maneno Yake (Ta´ala):
عَلَّمَهُ شَدِيدُ الْقُوَىٰ
”Amemfunza aliye mwingi wa nguvu… ” (53:05-17)
- Muhusika: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (02/130)
- Imechapishwa: 22/08/2020
Swali: Je, Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alimwona Mola Wake (Ta´ala) usikuwa wa israa´?
Jibu: Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hakumwona Mola Wake duniani kwa macho ya kichwani mwake duniani kutokana na maoni sahihi ya wanachuoni juu ya hilo. Alimwona Jibriyl (´alayhis-Salaam) kwa umbile lake kwenye upeo angani. Haya ndio makusudio ya maneno Yake (Ta´ala):
عَلَّمَهُ شَدِيدُ الْقُوَىٰ
”Amemfunza aliye mwingi wa nguvu… ” (53:05-17)
Muhusika: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (02/130)
Imechapishwa: 22/08/2020
https://firqatunnajia.com/mtume-hakuwahi-kumuona-allaah-duniani-kwa-macho-yake/