Swali: Je, tunaweza kusema ya kwamba Salafiy wa kwanza ni Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)?

Jibu: Yeye ndiye kiongozi wa Salaf. Yeye ndiye kiongozi wa Ummah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_03.mp3
  • Imechapishwa: 02/07/2018