Mtu kujifanyia matabano mwenyewe

Swali: Vipi mtu kujifanyia matabano mwenyewe?

Jibu: Hilo limewekwa katika Shari´ah na ni Sunnah. Ni miongoni mwa tiba zinazokubalika katika Shari´ah. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akijitabana mwenyewe.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24339/ما-حكم-رقية-المرء-نفسه
  • Imechapishwa: 01/10/2024