Mtu ataulizwa juu ya nguo yake anayoivaa

Swali: Je, ni kweli kwamba mtu atafanyiwa hesabu siku ya Qiyaamah juu ya nguo yake anayoivaa?

Jibu: Ndio, ataulizwa juu ya mali yake ni wapi aliichuma na ni wapi aliitumia, kama ilivyopokelewa katika Hadiyth tukufu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (05/393)
  • Imechapishwa: 10/10/2020