Kukusanya swalah mbili kwa sababu ya kazi

Swali: Unasemaje juu ya mtu ambaye anakusanya baina ya Dhuhr na ´Aswr kwa sababu ya kazi na anasema kwamba amemsikia Shaykh mmoja katika TV akitoa fatwa ya kufaa kufanya hivo?

Jibu: Kukusanya kati ya swalah mbili pasi na udhuru ni miongoni mwa madhambi makubwa. Tunamuomba Allaah usalama na msamaha.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (17)
  • Imechapishwa: 10/10/2020