Swali: Kuna ambao wanaidhoofisha Hadiyth ya kugawanyika kwa Ummah huu makundi sabini na tatu. Ni ipi Radd yako kwake?
Jibu: Hadiyth ya kugawanyika [kwa Ummah huu] wameisahihisha maimamu wa Hadiyth ambao ni maimamu wa al-Jarh na at-Ta´diyl. Anayetaka kuiponda hatoweza kufanya hivo. Ni kama anataka kuifikilia mbingu na kuigusa kwa mkono wake.
- Muhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alnajmi.net/voices.php?action=show&id=10
- Imechapishwa: 20/09/2020
Swali: Kuna ambao wanaidhoofisha Hadiyth ya kugawanyika kwa Ummah huu makundi sabini na tatu. Ni ipi Radd yako kwake?
Jibu: Hadiyth ya kugawanyika [kwa Ummah huu] wameisahihisha maimamu wa Hadiyth ambao ni maimamu wa al-Jarh na at-Ta´diyl. Anayetaka kuiponda hatoweza kufanya hivo. Ni kama anataka kuifikilia mbingu na kuigusa kwa mkono wake.
Muhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alnajmi.net/voices.php?action=show&id=10
Imechapishwa: 20/09/2020
https://firqatunnajia.com/mtu-anayetaka-kuigusa-mbingu-kwa-mikono/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket