Magazeti ya mapicha

Swali: Ipi hukumu ya kuuza gazeti za fedheha na sigara?

Jibu: Gazeti ambazo zina picha haijuzu kuziuza. Magezi ambazo zina picha za fedheha – na tunamuomba Allaah afya – haijuzu.

Check Also

Niwaache wateja wavute sigara kwenye mgahawa wangu?

Swali: Mimi nina mgahawa ambapo watu wanakunywa kahawa na chai. Je, inajuzu kwangu kuwaruhusu wateja …