Swali: Je, ni jambo linalowezekana kwa muumini akaona Pepo na Moto duniani?
Jibu: Anaweza akaona hilo ndotoni. Duniani hawezi akaona Pepo na Moto. Lakini hata hivyo anaweza kuona hilo kwenye ndoto au akaona athari yake ambayo ni kule joto kuwa kali. Hili ni kutokamana na mvuke wa Moto. Furaha, raha nzurinzuri na kadhalika ni katika athari ya Pepo. Pepo ina athari yake duniani kama jinsi Moto vilevile una athari yake duniani.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (17) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-11-6.mp3
- Imechapishwa: 19/08/2020
Swali: Je, ni jambo linalowezekana kwa muumini akaona Pepo na Moto duniani?
Jibu: Anaweza akaona hilo ndotoni. Duniani hawezi akaona Pepo na Moto. Lakini hata hivyo anaweza kuona hilo kwenye ndoto au akaona athari yake ambayo ni kule joto kuwa kali. Hili ni kutokamana na mvuke wa Moto. Furaha, raha nzurinzuri na kadhalika ni katika athari ya Pepo. Pepo ina athari yake duniani kama jinsi Moto vilevile una athari yake duniani.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (17) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-11-6.mp3
Imechapishwa: 19/08/2020
https://firqatunnajia.com/mtu-anaweza-kuona-pepo-na-moto-duniani/